Friday, July 28, 2017
VAZI LA SURUALI
Wapendwa!!! mara kadhaa nimekuwa nikitatizwa sana na vazi la suruali kwa maana hasa ni nani kati ya mwanamume na mwanamke anayestahili, nimekutana na wanazuoni wakiwemo wachungaji ndiyo kwanza wameishia kupingana kwa maana kati yao wamekuwa wakidai suruali ni vazi la kike na miongoni mwao wamedai ni vazi la kiume, kwa hali hii naomba msaada wenu lipi ni jibu stahiki?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment