Friday, September 30, 2011

HII NDIYO NDEGE ILIYOPATA AJALI MBEYA



INASADIKIKA RUBANI ALIPOGUNDUA NDEGE INAHITILAFU ALIMWAGA MAFUTA ANGANI NA HATIMAYE KUFANIKIWA KUTUA

Tuesday, September 27, 2011









Haya yote ni mapito mtoto anajisevia mwenyewe, INGAWA afya ya ngombe ni mbovu kinoma

SOKO LA SIDO LIKITEKETEA








Wakati fulani swala la moto ni sawa na vita ningeshauri wanajeshi wetu wahusishwe katika uzimaji kama tunavyoona nchi za wenzetu, haswa ukizingatia vikosi (fire) vyetu bado havijaimarishwa vya kutosha




JIJI LA MBEYA NA CHANGAMOTO ZA KUKABILIANA NA MAJANGA YA MOTO



Moto si kitu cha kawaida unavyoona hapa palibaki tambarale si vibanda tu vilikwenda bali hata mali mpaka fedha za wafanyabiashara mbeya viliteketea