Wednesday, May 1, 2013

FUKAMA ( FUNDISHA KADIRI YA MALIPO)

Walimu waonyesha kilio chao kwa kukubali yaishe, na hivyo kuja na kauli ya kuwataka walimu kufundisha kwa kadiri ya malipo wanayoyapata kwa kifupi wanaita "FUKAMA" Hii imejitokeza kwa kuandika ujumbe huu katika mabango waliyoingia nayo katika maandamano ya Mei mosi Mbeya 2013 viwanja vya sokoine

No comments: